Psalms 59:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazama! Wananivizia waniue; watu wakatili wanachochea ugomvi dhidi yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama wanavyonivizia! Watu wakali wananifanyia hila, ingawa Ee Mwenyezi Mungu, mimi sijakosea wala kutenda dhambi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana wanaiotea nafsi yangu; Wenye nguvu wamenikusanyikia; Ee Bwana, si kwa kosa langu, Wala si kwa hatia yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazama! Wananivizia waniue; watu wakatili wanachochea ugomvi dhidi yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama wanavyonivizia! Watu wakali wanajiunga pamoja kwa ubaya dhidi yangu, Ee BWANA, mimi sijakosea wala kutenda dhambi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama wanavyonivizia! Watu wakali wananifanyia hila, ingawa Ee bwana, mimi sijakosea wala kutenda dhambi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana wanaiotea nafsi yangu; Wenye nguvu wamepanga kunishambulia; Ee BWANA, si kwa kosa langu, Wala si kwa hatia yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazama! Wananivizia waniue; watu wakatili wanachochea ugomvi dhidi yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani unaona, jinsi wanavyoivizia roho yangu, wenye nguvu wamekusanyika, wanikamate; lakini hakuna, Bwana, nilichowapotolea, wala nilichowakosea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana wanaiotea nafsi yangu; Wenye nguvu wamenikusanyikia; Ee BWANA, si kwa kosa langu, Wala si kwa hatia yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uniokoe na hao wanaotenda maovu, Uniponyeshe kutoka hao wauaji!