Psalms 59:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bila ya kosa, hatia au dhambi yangu, wanakimbia, ee Mwenyezi-Mungu, kujiweka tayari. Uinuke, ee Mwenyezi-Mungu, ukatazame na kunisaidia!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sijatenda kosa; hata hivyo wako tayari kunishambulia. Inuka unisaidie, uone hali yangu mbaya!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bila kosa langu huenda mbio, hujiweka tayari; Uamke uonane nami, na kutazama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bila ya kosa, hatia au dhambi yangu, wanakimbia, ee Mwenyezi-Mungu, kujiweka tayari. Uinuke, ee Mwenyezi-Mungu, ukatazame na kunisaidia!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sijatenda kosa; hata hivyo wako tayari kunishambulia. Inuka unisaidie, uone hali yangu mbaya!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sijatenda kosa; hata hivyo wako tayari kunishambulia. Inuka unisaidie, uone hali yangu mbaya!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bila kosa langu wanaenda mbio, kujiweka tayari; Inuka utazame na kunisaidia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bila ya kosa, hatia au dhambi yangu, wanakimbia, ee Mwenyezi-Mungu, kujiweka tayari. Uinuke, ee Mwenyezi-Mungu, ukatazame na kunisaidia!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli hakuna mabaya, niliyowafanyizia, tena wanapiga mbio, wajiweke tayari. Amka, unifikie, uwaone!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bila kosa langu huenda mbio, hujiweka tayari; Uamke uonane nami, na kutazama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia! Wananivizia waniue. Watu wakali wanachochea ugomvi juu yangu ingawa sikufanya ubaya wowote.