Psalms 59:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila jioni maadui hao hurudi wakibweka kama mbwa, na kuzungukazunguka mjini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hurudi wakati wa jioni, wakibweka kama mbwa, wakiuzurura mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati wa jioni hurudi, hulia kama mbwa, Na kuzunguka-zunguka mjini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila jioni maadui hao hurudi wakibweka kama mbwa, na kuzungukazunguka mjini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hurudi wakati wa jioni, wakibweka kama mbwa, wakiuzungukazunguka mji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hurudi wakati wa jioni, wakibweka kama mbwa, wakiuzurura mji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati wa jioni hurudi, wakilia kama mbwa, Na kuzungukazunguka mjini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila jioni maadui hao hurudi wakibweka kama mbwa, na kuzungukazunguka mjini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jioni hurudi na kulia kama mbwa; ndivyo, wanavyozungukazunguka humu mjini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati wa jioni hurudi, hulia kama mbwa, Na kuzunguka-zunguka mjini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uinuke, ee Yawe, Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli. Uamuke, uwaazibu hao watu wasiokujua; usiwaache hao waasi na wabaya.