Psalms 59:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tazama, ni matusi tu yatokayo mdomoni mwao, maneno yao yanakata kama upanga mkali; tena wanafikiri hakuna anayewasikia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama yale wanayotema kutoka vinywa vyao, hutema panga kutoka midomo yao, nao husema, “Ni nani atakayetusikia?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, kwa vinywa vyao huteuka, Midomoni mwao mna panga, Kwa maana ni nani asikiaye?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tazama, ni matusi tu yatokayo mdomoni mwao, maneno yao yanakata kama upanga mkali; tena wanafikiri hakuna anayewasikia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama yale wanayotema kutoka katika vinywa vyao, hutema upanga kutoka katika midomo yao, nao husema, “Ni nani atakayetusikia?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama yale wanayotema kutoka vinywa vyao, hutema upanga kutoka midomo yao, nao husema, “Ni nani atakayetusikia?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, kwa vinywa vyao huteuka, Midomoni mwao mna panga, Kwa maana ni nani asikiaye?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tazama, ni matusi tu yatokayo mdomoni mwao, maneno yao yanakata kama upanga mkali; tena wanafikiri hakuna anayewasikia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukiwaangalia, vinywani mwao hububujika mabaya, namo midomoni mwao zimo panga; huwaza kwamba: Yuko nani atakayetusikia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, kwa vinywa vyao huteuka, Midomoni mwao mna panga, Kwa maana ni nani asikiaye?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila magaribi waadui hao wanarudi wakifoka kama imbwa, na kuzungukazunguka katika muji.