Psalms 59:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wawacheka; unawapuuza hao watu wote wasiokujua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wewe, Mwenyezi Mungu, uwacheke; unayadharau mataifa hayo yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Wewe, Bwana, utawacheka, Utawadhihaki mataifa yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wawacheka; unawapuuza hao watu wote wasiokujua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wewe, BWANA, uwacheke; unayadharau mataifa hayo yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wewe, bwana, uwacheke; unayadharau mataifa hayo yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Wewe, BWANA, utawacheka, Utawadhihaki mataifa yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu, wawacheka; unawapuuza hao watu wote wasiokujua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wewe Bwana, unawacheka, wamizimu wote unawabeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Wewe, BWANA, utawacheka, Utawadhihaki mataifa yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia, ni matusi tu yanayotoka katika midomo yao, maneno yao ni kama panga kali; tena wanafikiri hakuna anayewasikia.