Psalms 59:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakungoja, ewe uliye nguvu yangu; maana wewe, ee Mungu, u ngome yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee nguvu yangu, ninakutazama wewe, wewe, Ee Mungu, ndiwe ngome yangu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee nguvu zangu, nitakungoja Wewe, Maana Mungu ndiye aliye ngome yangu
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakungoja, ewe uliye nguvu yangu; maana wewe, ee Mungu, u ngome yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee nguvu yangu, ninakutazama wewe, wewe, Ee Mungu, ndiwe ngome yangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee nguvu yangu, ninakutazama wewe, wewe, Ee Mungu, ndiwe ngome yangu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee nguvu zangu, nitakungoja Wewe, Maana Mungu ndiye aliye ngome yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakungoja, ewe uliye nguvu yangu; maana wewe, ee Mungu, u ngome yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakikaza nguvu, nitakutazamia wewe; kwani wewe, Mungu, u ngome yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee nguvu zangu, nitakungoja Wewe, Maana Mungu ndiye aliye ngome yangu
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wewe, ee Yawe, unawachekelea; unawazarau hao watu wasiokujua.