Psalms 6:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji: Na ala za nyuzi za muziki. Mtindo wa Sheminithi. Zaburi ya Daudi) Ee Mwenyezi-Mungu, usinikemee kwa hasira yako; usiniadhibu kwa ghadhabu yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, usinikemee katika hasira yako, wala usiniadhibu katika ghadhabu yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, usinikemee kwa hasira yako, Wala usinirudi kwa ghadhabu yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, usinikemee kwa hasira yako; usiniadhibu kwa ghadhabu yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Kwa Ala Za Nyuzi Za Muziki. Mtindo Wa Sheminithi. Zaburi Ya Daudi) Ee BWANA, usinikemee katika hasira yako, wala usiniadhibu katika ghadhabu yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, usinikemee katika hasira yako, wala usiniadhibu katika ghadhabu yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, usinikemee kwa hasira yako, Wala usinirudi kwa ghadhabu yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, usinikemee kwa hasira yako; usiniadhibu kwa ghadhabu yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana usinipatilize kwa makali yako, wala kwa machafuko yako yenye moto usinichape!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, usinikemee kwa hasira yako, Wala usinirudi kwa ghadhabu yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka Mukubwa wa waimbaji: kwa vyombo vyenye nyuzi nane. Zaburi ya Daudi.