Psalms 6:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maadui zangu wote wataaibika na kufadhaika; watarudi nyuma na kuaibishwa ghafla.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adui zangu wote wataaibika na kufadhaika, watarudi nyuma na waaibishwe kwa ghafula.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Adui zangu wote wataaibika na kufadhaika, Watarudi nyuma, kwa ghafula wataaibika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maadui zangu wote wataaibika na kufadhaika; watarudi nyuma na kuaibishwa ghafla.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adui zangu wote wataaibika na kufadhaika, watarudi nyuma kwa aibu ya ghafula.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adui zangu wote wataaibika na kufadhaika, watarudi nyuma kwa aibu ya ghafula.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Adui zangu wote wataaibika na kufadhaika, Watarudi nyuma, kwa ghafla wataaibika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maadui zangu wote wataaibika na kufadhaika; watarudi nyuma na kuaibishwa ghafla.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Adui zangu watapatwa na soni wote kwa kustushwa sana, watarudi nyuma kwa kuingiwa na soni kwa mara moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Adui zangu wote wataaibika na kufadhaika, Watarudi nyuma, kwa ghafula wataaibika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe amesikia ombi langu; Yawe amekubali maombi yangu.