Psalms 6:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unihurumie, ee Mwenyezi-Mungu, nimeishiwa nguvu; uniponye, ee Mwenyezi-Mungu, nataabika mpaka mifupani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unirehemu Mwenyezi Mungu, kwa maana nimedhoofika; Ee Mwenyezi Mungu, uniponye, kwa maana mifupa yangu ina maumivu makali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, unifadhili, maana ninanyauka; Bwana, uniponye, mifupa yangu imefadhaika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unihurumie, ee Mwenyezi-Mungu, nimeishiwa nguvu; uniponye, ee Mwenyezi-Mungu, nataabika mpaka mifupani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unirehemu BWANA, kwa maana nimedhoofika; Ee BWANA, uniponye, kwa maana mifupa yangu ina maumivu makali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unirehemu bwana, kwa maana nimedhoofika; Ee bwana, uniponye, kwa maana mifupa yangu ina maumivu makali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, unifadhili, maana ninanyauka; BWANA, uniponye, mifupa yangu imefadhaika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unihurumie, ee Mwenyezi-Mungu, nimeishiwa nguvu; uniponye, ee Mwenyezi-Mungu, nataabika mpaka mifupani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, na uniwie mpole, kwani ni mnyonge; kwa kuwa mifupa yangu imestuka, niponye Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, unifadhili, maana ninanyauka; BWANA, uniponye, mifupa yangu imefadhaika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, usiniazibu kwa hasira yako, usiniadibishe kwa kasirani yako.