Psalms 6:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninahangaika sana rohoni mwangu. Ee Mwenyezi-Mungu, utakawia mpaka lini?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nafsi yangu ina uchungu mwingi. Hadi lini, Ee Mwenyezi Mungu, hadi lini?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na nafsi yangu imefadhaika sana; Na Wewe, Bwana, hata lini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninahangaika sana rohoni mwangu. Ee Mwenyezi-Mungu, utakawia mpaka lini?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nafsi yangu ina uchungu mwingi. Mpaka lini, Ee BWANA, mpaka lini?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nafsi yangu ina uchungu mwingi. Mpaka lini, Ee bwana, mpaka lini?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na nafsi yangu imefadhaika sana; Na Wewe, BWANA, hadi lini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninahangaika sana rohoni mwangu. Ee Mwenyezi-Mungu, utakawia mpaka lini?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo roho yangu imestuka sana, nawe Bwana, utakawia mpaka lini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na nafsi yangu imefadhaika sana; Na Wewe, BWANA, hata lini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unihurumie, ee Yawe, nimeishiwa nguvu; uniponyeshe, ee Yawe, ninatetemeka mpaka katika mifupa.