Psalms 6:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unigeukie, ee Mwenyezi-Mungu, uniokoe; unisalimishe kwa sababu ya fadhili zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Geuka, Ee Mwenyezi Mungu, unikomboe, uniokoe kwa sababu ya fadhili zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana urudi, uniopoe nafsi yangu, Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unigeukie, ee Mwenyezi-Mungu, uniokoe; unisalimishe kwa sababu ya fadhili zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Geuka Ee BWANA, unikomboe, uniokoe kwa sababu ya fadhili zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Geuka Ee bwana, unikomboe, uniokoe kwa sababu ya fadhili zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA urudi, uniopoe nafsi yangu, Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unigeukie, ee Mwenyezi-Mungu, uniokoe; unisalimishe kwa sababu ya fadhili zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ee Bwana, rudi, uiopoe roho yangu! Niponye kwa hivyo, ulivyo mwenye utu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA urudi, uniopoe nafsi yangu, Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninahangaika sana ndani ya roho yangu. Ee Yawe, utakawia mpaka wakati gani?