Psalms 6:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huko kwa wafu hakuna anayekukumbuka; huko kuzimu ni nani awezaye kukusifu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna mtu anayekukumbuka akiwa amekufa. Ni nani awezaye kukusifu akiwa Kuzimu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mautini hapana kumbukumbu lako; Katika kuzimu ni nani atakayekushukuru?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko kwa wafu hakuna anayekukumbuka; huko kuzimu ni nani awezaye kukusifu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna mtu anayekukumbuka akiwa amekufa. Ni nani awezaye kukusifu akiwa kuzimu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna mtu anayekukumbuka akiwa amekufa. Ni nani awezaye kukusifu akiwa kuzimu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mautini hapana kumbukumbu lako; Katika kuzimu ni nani atakayekushukuru?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huko kwa wafu hakuna anayekukumbuka; huko kuzimu ni nani awezaye kukusifu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kwao waliokwisha kufa hakuna anayekukumbuka, nako kuzimuni yuko nani atakayekushukuru?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mautini hapana kumbukumbu lako; Katika kuzimu ni nani atakayekushukuru?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unigeukie, ee Yawe, uniokoe; uniponyeshe kwa sababu ya wema wako.