Psalms 6:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ondokeni kwangu enyi nyote watenda maovu! Maana Mwenyezi-Mungu amesikia kilio changu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kaeni mbali nami, ninyi nyote mtendao mabaya, kwa maana Mwenyezi Mungu amesikia kulia kwangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ondokeni kwangu, ninyi nyote mtendao uovu; Kwa kuwa Bwana ameisikia sauti ya kilio changu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ondokeni kwangu enyi nyote watenda maovu! Maana Mwenyezi-Mungu amesikia kilio changu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kaeni mbali nami, ninyi nyote mtendao mabaya, kwa maana BWANA amesikia kulia kwangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kaeni mbali nami, ninyi nyote mtendao mabaya, kwa maana bwana amesikia kulia kwangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ondokeni kwangu, ninyi nyote mtendao uovu; Kwa kuwa BWANA ameisikia sauti ya kilio changu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ondokeni kwangu enyi nyote watenda maovu! Maana Mwenyezi-Mungu amesikia kilio changu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ondokeni kwangu, nyote mfanyao maovu! Kwani Bwana huzisikia sauti za kilio changu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ondokeni kwangu, ninyi nyote mtendao uovu; Kwa kuwa BWANA ameisikia sauti ya kilio changu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Macho yangu yamechoka kwa huzuni; yamefifia kwa kutaabishwa na waadui.