Psalms 6:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu amesikia ombi langu; Mwenyezi-Mungu amekubali sala yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu amesikia kilio changu kwa huruma, Mwenyezi Mungu amekubali sala yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ameisikia dua yangu; Bwana atayatakabali maombi yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu amesikia ombi langu; Mwenyezi-Mungu amekubali sala yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA amesikia kilio changu kwa huruma, BWANA amekubali sala yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana amesikia kilio changu kwa huruma, bwana amekubali sala yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ameisikia dua yangu; BWANA atayatakabali maombi yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu amesikia ombi langu; Mwenyezi-Mungu amekubali sala yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana husikia, ninavyomlalamikia, Bwana huyapokea maombo yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ameisikia dua yangu; BWANA atayatakabali maombi yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muondoke karibu nami, enyi wote watenda maovu! Maana Yawe amesikia kilio changu.