Psalms 60:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Shushani Edut. Utenzi wa Daudi wa kufundisha, wakati alipopigana na Waaramu kutoka Naharaimu na Zoba, Yoabu aliporudi nyuma na kuwaua Waedomu 12,000 katika Bonde la Chumvi) Ee Mungu, umetutupa na kutuponda, umewaka hasira, tafadhali uturudishie nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, umetukataa na kutokea ghafula juu yetu, umekuwa na hasira; sasa turejeshe!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, umetutupa na kututawanya, Umekuwa na hasira, uturudishe tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu, umetutupa na kutuponda, umewaka hasira, tafadhali uturudishie nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Mtindo Wa Shushani Eduthi. Utenzi Wa Daudi Wa Kufundisha Wakati Alipopigana Na Waaramu Kutoka Aramu-Naharaimu Na Aramu-Soba, Yoabu Aliporudi Nyuma Na Kuwaua Waedomu 12,000 Katika Bonde La Chumvi) Ee Mungu, umetukataa na kutokea ghafula juu yetu, umekasirika, sasa uturejeshe upya!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, umetukataa na kutokea ghafula juu yetu, umekasirika: sasa turejeshe upya!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, umetutupa na kututawanya, Umekuwa na hasira, uturudishe tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu, umetutupa na kutuponda, umewaka hasira, tafadhali uturudishie nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu, umetutupa na kututapanya; kweli ulikuwa umetuchafukia, lakini utugeukie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, umetutupa na kututawanya, Umekuwa na hasira, uturudishe tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Kwa mutindo wa wimbo “Ushuhuda wa mayungiyungi.” Mashairi ya Daudi ya kufundisha yanayoelekea wakati alipopigana na Wasuria katika Mesopotamia na Zoba naye Yoabu aliporudi nyuma na kuwaua Waedomu elfu kumi na mbili katika bonde la Chumvi.