Psalms 60:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, umetuacha kabisa, ee Mungu? Wewe huendi tena na majeshi yetu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, si ni wewe uliyetukataa sisi, na hutoki tena na majeshi yetu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, si Wewe uliyetutupa? Wala, Ee Mungu, hutoki na majeshi yetu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, umetuacha kabisa, ee Mungu? Wewe huendi tena na majeshi yetu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, si wewe, wewe uliyetukataa sisi na hutoki tena na majeshi yetu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, si ni wewe uliyetukataa sisi, na hutoki tena na majeshi yetu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, si Wewe uliyetutupa? Wala, Ee Mungu, hutoki na majeshi yetu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, umetuacha kabisa, ee Mungu? Wewe huendi tena na majeshi yetu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Si wewe Mungu uliyenitupa, ukakataa kwenda vitani na vikosi vyetu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, si Wewe uliyetutupa? Wala, Ee Mungu, hutoki na majeshi yetu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Moabu ni kama bakuli langu la kunawia. Nitatupia Edomu kiatu changu kwa kuirizi. Nitapiga kelele la ushindi juu ya Filistia.”