Psalms 60:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utupatie msaada dhidi ya maadui zetu, maana msaada wa binadamu haufai kitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tuletee msaada dhidi ya adui, kwa maana msaada wa mwanadamu haufai kitu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utuletee msaada juu ya mtesi, Maana wokovu wa binadamu haufai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utupatie msaada dhidi ya maadui zetu, maana msaada wa binadamu haufai kitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tupe msaada dhidi ya adui, kwa maana msaada wa mwanadamu haufai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tuletee msaada dhidi ya adui, kwa maana msaada wa mwanadamu haufai kitu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utuletee msaada juu ya mtesi, Maana wokovu wa binadamu haufai kitu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utupatie msaada dhidi ya maadui zetu, maana msaada wa binadamu haufai kitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tujie, utusaidie, tumshinde atusongaye! Kwani watu hawawezi kutuokoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utuletee msaada juu ya mtesi, Maana wokovu wa binadamu haufai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni nani atakayenipeleka kwenye muji unaozungukwa na kuta? Ni nani atakayeniongoza mpaka Edomu?