Psalms 60:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu akiwa upande wetu tutashinda, yeye atawaponda maadui zetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa msaada wa Mungu tutapata ushindi, naye atawaponda adui zetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa msaada wa Mungu tutatenda makuu, Maana Yeye atawakanyaga watesi wetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu akiwa upande wetu tutashinda, yeye atawaponda maadui zetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu akiwa pamoja nasi tutajipatia ushindi, naye atawakanyaga chini adui zetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa msaada wa Mungu tutapata ushindi, naye atawaponda adui zetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa msaada wa Mungu tutatenda makuu, Maana Yeye atawakanyaga watesi wetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu akiwa upande wetu tutashinda, yeye atawaponda maadui zetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa nguvu yake Mungu na tufanye nasi yenye nguvu! Yeye ndiye atakayewakanyaga watusongao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa msaada wa Mungu tutatenda makuu, Maana Yeye atawakanyaga watesi wetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Si wewe Mungu ambaye umetutupilia? Lakini hauendi tena na jeshi letu.