Psalms 60:2 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umeitetemesha nchi na kuipasua; uzibe nyufa zake kwani inabomoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umetetemesha nchi na kuipasua; uiponye mavunjiko yake, kwa maana inatetemeka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umeitetemesha nchi na kuipasua, Upaponye palipobomoka, maana inatikisika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umeitetemesha nchi na kuipasua; uzibe nyufa zake kwani inabomoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umetetemesha nchi na kuipasua; uiponye na kutengeneza mavunjiko yake, kwa maana inatetemeka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umetetemesha nchi na kuipasua; uiponye mavunjiko yake, kwa maana inatetemeka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umeitetemesha nchi na kuipasua, Upaponye palipobomoka, maana inatikisika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umeitetemesha nchi na kuipasua; uzibe nyufa zake kwani inabomoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umeitetemesha nchi na kuipasua, sasa ziponye nyufa zake, maana imetingishika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umeitetemesha nchi na kuipasua, Upaponye palipobomoka, maana inatikisika.