Psalms 60:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umewatwika watu wako mateso; tunayumbayumba kama waliolewa divai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umewaonesha watu wako nyakati za kukata tamaa; umetunywesha mvinyo unaotuyumbisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umewaonyesha watu wako mazito, Na kutunywesha mvinyo ya kutuyumbisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umewatwika watu wako mateso; tunayumbayumba kama waliolewa divai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umewaonyesha watu wako nyakati za kukata tamaa; umetunywesha mvinyo unaotufanya tupepesuke.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umewaonyesha watu wako nyakati za kukata tamaa; umetunywesha mvinyo unaotuyumbisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umewaonesha watu wako mazito, Na kutunywesha mvinyo ya kutuyumbisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umewatwika watu wako mateso; tunayumbayumba kama waliolewa divai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walio ukoo wako umewaonea magumu, ukatunywesha mvinyo za kutupepesusha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umewaonyesha watu wako mazito, Na kutunywesha mvinyo ya kutuyumbisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, umetutupilia na kutuponda, umewaka hasira. Tafazali uturudishie nguvu.