Psalms 60:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uwape ishara wale wanaokuheshimu, wapate kuuepa mshale.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa wale wanaokucha wewe, umewainulia bendera, ili iweze kutwekwa dhidi ya upinde.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umewapa wakuogopao bendera, Ili itwekwe kwa ajili ya kweli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uwape ishara wale wanaokuheshimu, wapate kuuepa mshale.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa wale wanaokucha wewe, umewainulia bendera, ili iweze kutwekwa dhidi ya upinde.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa wale wanaokucha wewe, umewainulia bendera, ili iweze kutwekwa dhidi ya upinde.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umewapa wakuogopao bendera, Ili itwekwe kwa ajili ya kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uwape ishara wale wanaokuheshimu, wapate kuuepa mshale.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wao wakuogopao umewapa bendera ya kuinuliana, wapate kuyagombea yaliyo ya kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umewapa wakuogopao bendera, Ili itwekwe kwa ajili ya kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umeitetemesha inchi na kuipasua; uzibe nyufa zake kwa maana imetikisika.