Psalms 60:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uwasalimishe hao watu uwapendao; utuokoe kwa mkono wako, na kutusikiliza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tuokoe na utusaidie kwa mkono wako wa kuume, ili wale uwapendao wapate kuokolewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ili wapenzi wako waopolewe, Uokoe kwa mkono wako wa kuume, utuitikie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uwasalimishe hao watu uwapendao; utuokoe kwa mkono wako, na kutusikiliza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tuokoe na utusaidie kwa mkono wako wa kuume, ili wale uwapendao waweze kuokolewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tuokoe na utusaidie kwa mkono wako wa kuume, ili wale uwapendao wapate kuokolewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ili wapenzi wako waopolewe, Utuokoe kwa mkono wako wa kulia, utuitikie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uwasalimishe hao watu uwapendao; utuokoe kwa mkono wako, na kutusikiliza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kusudi wao uwapendao wapate kuopoka, mkono wako wa kuume uwaokoe, ukituitikia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ili wapenzi wako waopolewe, Uokoe kwa mkono wako wa kuume, utuitikie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umewaletea watu wako mateso; umetukunywesha divai tuyumbeyumbe.