Psalms 60:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu amesema kutoka patakatifu pake “Sasa nitaigawa Shekemu kwa shangwe, Bonde la Sukothi nitalipima sehemusehemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu amenena kutoka patakatifu pake: “Nitaigawa Shekemu kwa ushindi na kulipima Bonde la Sukothi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu amenena kwa utakatifu wake, Nami nitashangilia. Nitaigawanya Shekemu, Nitalipima bonde la Sukothi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu amesema kutoka patakatifu pake “Sasa nitaigawa Shekemu kwa shangwe, Bonde la Sukothi nitalipima sehemusehemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu amenena kutoka mahali patakatifu pake: “Kwa furaha kuu nitaigawa Shekemu na kupima Bonde la Sukothi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu amenena kutoka patakatifu pake: “Nitaigawa Shekemu kwa ushindi na kulipima Bonde la Sukothi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu amenena kwa utakatifu wake, Nami nikishangilia. Nitaigawanya Shekemu, Na kulipima bonde la Sukothi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu amesema kutoka patakatifu pake “Sasa nitaigawa Shekemu kwa shangwe, Bonde la Sukothi nitalipima sehemusehemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu alisema hapo Patakatifu pake: Nikiigawanya nchi ya Sikemu nitapiga vigelegele; ndipo, nitakapolipima nalo bonde la Sukoti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu amenena kwa utakatifu wake, Nami nitashangilia. Nitaigawanya Shekemu, Nitalipima bonde la Sukothi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaarifu kwa vitambulisho wale wanaokuheshimu, wapate kuuepuka mushale.