Psalms 60:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Gileadi ni yangu, na Manase ni yangu; Efraimu ni kofia yangu ya chuma, na Yuda ni fimbo yangu ya enzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Gileadi ni yangu, na Manase ni yangu; Efraimu ni chapeo yangu, nayo Yuda ni fimbo yangu ya utawala.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Gileadi ni yangu, na Manase ni yangu, Na Efraimu ni nguvu ya kichwa changu. Yuda ni fimbo yangu ya kifalme,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Gileadi ni yangu, na Manase ni yangu; Efraimu ni kofia yangu ya chuma, na Yuda ni fimbo yangu ya enzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Gileadi ni yangu na Manase ni yangu, Efraimu ni kofia yangu ya chuma, na Yuda ni fimbo yangu ya utawala.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Gileadi ni yangu na Manase ni yangu; Efraimu ni kofia yangu ya chuma, nayo Yuda ni fimbo yangu ya utawala.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Gileadi ni yangu, na Manase ni yangu, Na Efraimu ni kinga ya kichwa changu. Yuda ni fimbo yangu ya kifalme,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Gileadi ni yangu, na Manase ni yangu; Efraimu ni kofia yangu ya chuma, na Yuda ni fimbo yangu ya enzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Gileadi ni yangu, Manase ni yangu, Efuraimu ni kingio la kichwa changu, Yuda ni bakora yangu ya kifalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Gileadi ni yangu, na Manase ni yangu, Na Efraimu ni nguvu ya kichwa changu. Yuda ni fimbo yangu ya kifalme,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaponyeshe hao watu unaowapenda! Utuokoe kwa mukono wako! Utusikilize!