Psalms 60:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Moabu ni kama bakuli langu la kunawia, kiatu changu nitaitupia Edomu kuimiliki. Nitapiga kelele ya ushindi juu ya Filistia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moabu ni sinia langu la kunawia, juu ya Edomu natupa kiatu changu; nashangilia kwa kushindwa kwa Ufilisti.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Moabu ni bakuli langu la kunawia. Nitamtupia Edomu kiatu changu, Na kumpigia Filisti kelele za vita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Moabu ni kama bakuli langu la kunawia, kiatu changu nitaitupia Edomu kuimiliki. Nitapiga kelele ya ushindi juu ya Filistia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Moabu ni sinia langu la kunawia, juu ya Edomu natupa kiatu changu; nami nitashangilia kwa kushindwa kwa Ufilisti.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Moabu ni sinia langu la kunawia, juu ya Edomu natupa kiatu changu; nashangilia kwa kushindwa kwa Ufilisti.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Moabu ni bakuli langu la kunawia. Nitamtupia Edomu kiatu changu, Na kumpigia Filisti kelele za vita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Moabu ni kama bakuli langu la kunawia, kiatu changu nitaitupia Edomu kuimiliki. Nitapiga kelele ya ushindi juu ya Filistia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Moabu ni bakuli langu la kunawia, Edomu ndiko, nitakakovitupia viatu vyangu, nchi ya Wafilisti itanishangilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Moabu ni bakuli langu la kunawia. Nitamtupia Edomu kiatu changu, Na kumpigia Filisti kelele za vita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu amesema kutoka pahali pake patakatifu: “Sasa kwa shangwe nitaigawanya inchi ya Sekemu; Bonde la Sukoti nitalipima sehemu sehemu.