Psalms 61:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji: Na ala za nyuzi za muziki. Zaburi ya Daudi) Ee Mungu, usikie kilio changu, usikilize sala yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, sikia kilio changu, usikilize maombi yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, ukisikie kilio changu, Uyasikilize maombi yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu, usikie kilio changu, usikilize sala yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Kwa Ala Za Nyuzi Za Uimbaji. Zaburi Ya Daudi) Ee Mungu, sikia kilio changu, usikilize maombi yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, sikia kilio changu, usikilize maombi yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, ukisikie kilio changu, Uyasikilize maombi yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu, usikie kilio changu, usikilize sala yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu, lisikie lalamiko langu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, ukisikie kilio changu, Uyasikilize maombi yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Kwa vyombo vyenye nyuzi. Zaburi ya Daudi.