Psalms 61:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninakulilia kutoka miisho ya dunia, nikiwa nimevunjika moyo. Uniongoze juu kwenye mwamba mkubwa
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka miisho ya dunia ninakuita, ninakuita huku moyo wangu unadhoofika; uniongoze kwenye mwamba ulio juu kuniliko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Toka mwisho wa nchi nitakulilia nikizimia moyo, Uniongoze juu ya mwamba nisioweza kuupanda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninakulilia kutoka miisho ya dunia, nikiwa nimevunjika moyo. Uniongoze juu kwenye mwamba mkubwa
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka miisho ya dunia ninakuita, ninaita huku moyo wangu unadhoofika; uniongoze kwenye mwamba ule ulio juu kuliko mimi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka miisho ya dunia ninakuita, ninaita huku moyo wangu unadhoofika; uniongoze kwenye mwamba ule ulio juu kuliko mimi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Toka mwisho wa nchi nitakulilia ninapozimia moyo, Uniongoze juu ya mwamba nisioweza kuupanda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninakulilia kutoka miisho ya dunia, nikiwa nimevunjika moyo. Uniongoze juu kwenye mwamba mkubwa
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yaitikie nikuombayo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Toka mwisho wa nchi nitakulilia nikizimia moyo, Uniongoze juu ya mwamba nisioweza kuupanda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usikie kilio changu, ee Mungu, usikilize maombi yangu.