Psalms 61:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maana wewe ndiwe kimbilio langu, kinga yangu imara dhidi ya adui.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa umekuwa kimbilio langu, ngome imara dhidi ya adui.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana ulikuwa kimbilio langu, Ngome yenye nguvu adui asinipate.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maana wewe ndiwe kimbilio langu, kinga yangu imara dhidi ya adui.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa umekuwa kimbilio langu, ngome imara dhidi ya adui.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa umekuwa kimbilio langu, ngome imara dhidi ya adui.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana ulikuwa kimbilio langu, Ngome yenye nguvu adui asinipate.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maana wewe ndiwe kimbilio langu, kinga yangu imara dhidi ya adui.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenye mapeo ya nchi ninakuita, moyo wangu ukizimia. Unikweze mwambani! Kwani ni mrefu wa kunishinda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana ulikuwa kimbilio langu, Ngome yenye nguvu adui asinipate.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakulilia kutoka miisho ya dunia, nikikuwa nimevunjika moyo. Uniongoze juu kwenye mulima ambako siwezi kujifikisha.