Psalms 61:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naomba nikae nyumbani mwako milele nipate usalama chini ya mabawa yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Natamani kukaa kwenye hema lako milele, na kukimbilia chini ya uvuli wa mabawa yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitakaa katika hema yako milele, Nitaikimbilia sitara ya mbawa zako
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naomba nikae nyumbani mwako milele nipate usalama chini ya mabawa yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Natamani kukaa hemani mwako milele na kupata kimbilio chini ya uvuli wa mbawa zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Natamani kukaa hemani mwako milele, na kukimbilia chini ya uvuli wa mbawa zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitakaa katika hema yako milele, Na kupata kimbilio chini ya mbawa zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naomba nikae nyumbani mwako milele nipate usalama chini ya mabawa yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kimbilio langu ndiwe wewe, u mnara wenye nguvu machoni pao adui.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitakaa katika hema yako milele, Nitaikimbilia sitara ya mbawa zako
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe ndiwe kimbilio langu, boma langu lenye nguvu la kukimbilia waadui.