Psalms 61:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umjalie mfalme maisha marefu, miaka yake iwe ya vizazi vingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwongezee mfalme siku za maisha yake, miaka yake kwa vizazi vingi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utaziongeza siku za mfalme, Miaka yake itakuwa kama vizazi vingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umjalie mfalme maisha marefu, miaka yake iwe ya vizazi vingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwongezee mfalme siku za maisha yake, miaka yake kwa vizazi vingi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwongezee mfalme siku za maisha yake, miaka yake kwa vizazi vingi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utaziongeza siku za mfalme, Miaka yake itakuwa kama vizazi vingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umjalie mfalme maisha marefu, miaka yake iwe ya vizazi vingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wewe, Mungu, umeyasikia niliyokuapia, ukanigawia fungu lao waliogopao Jina lako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utaziongeza siku za mfalme, Miaka yake itakuwa kama vizazi vingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, umesikia viapo vyangu, umenijalia sehemu yangu unayowapa wale wanaokuabudu.