Psalms 61:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atawale milele mbele yako, ee Mungu; fadhili na uaminifu wako vimlinde.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtawaze mbele za Mungu milele; amuru upendo wako na uaminifu wako vimlinde.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atakaa mbele za Mungu milele, Ziagize fadhili na kweli zimhifadhi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atawale milele mbele yako, ee Mungu; fadhili na uaminifu wako vimlinde.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye na atawazwe kwenye kiti cha enzi mbele za Mungu milele; amuru upendo wako na uaminifu wako vimlinde.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye na atawazwe kwenye kiti cha enzi mbele za Mungu milele; amuru upendo wako na uaminifu wako vimlinde.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atakaa mbele za Mungu milele, Ziagize fadhili na kweli zimhifadhi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atawale milele mbele yako, ee Mungu; fadhili na uaminifu wako vimlinde.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unamwongezea mfalme siku kwa siku, miaka yake iwe ya vizazi na vizazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atakaa mbele za Mungu milele, Ziagize fadhili na kweli zimhifadhi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umujalie mufalme maisha marefu, miaka yake ikuwe ya vizazi vingi.