Psalms 61:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo nitakuimbia nyimbo za sifa, nikizitekeleza ahadi zangu kila siku.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo daima nitaliimbia sifa jina lako na kuzitimiza nadhiri zangu siku baada ya siku.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndivyo nitakavyoliimbia jina lako daima, Ili niondoe nadhiri zangu kila siku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo nitakuimbia nyimbo za sifa, nikizitekeleza ahadi zangu kila siku.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo daima nitaliimbia sifa jina lako na kuzitimiza nadhiri zangu siku baada ya siku.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo daima nitaliimbia sifa jina lako na kuzitimiza nadhiri zangu siku baada ya siku.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo nitakavyoliimbia jina lako daima, Ili niondoe nadhiri zangu kila siku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo nitakuimbia nyimbo za sifa, nikizitekeleza ahadi zangu kila siku.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akiendelea machoni pake Mungu atakaa kale na kale. Agiza vya upole na vya kweli, vimsimamie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndivyo nitakavyoliimbia jina lako daima, Ili niondoe nadhiri zangu kila siku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atawale milele mbele yako, ee Mungu; wema na uaminifu wako vimulinde.