Psalms 61:9 — Compare Translations

2 translations compared side by side

Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo nitaliimbia Jina lako kale na kale na kuyalipa siku kwa siku niliyokuapia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo nitakuimbia nyimbo za sifa, nikitimiza viapo vyangu kila siku.