Psalms 62:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Yeduthuni. Zaburi ya Daudi) Namngojea Mungu peke yake kwa utulivu, kwake watoka wokovu wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nafsi yangu inapata pumziko kwa Mungu peke yake; wokovu wangu watoka kwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nafsi yangu yamngoja Mungu peke yake kwa kimya, Wokovu wangu hutoka kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Namngojea Mungu peke yake kwa utulivu, kwake watoka wokovu wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Mtindo Wa Yeduthuni. Zaburi Ya Daudi) Kwa Mungu peke yake nafsi yangu inapata pumziko; wokovu wangu watoka kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa Mungu peke yake nafsi yangu inapata pumziko; wokovu wangu watoka kwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nafsi yangu yamngoja Mungu peke yake kwa utulivu, Wokovu wangu hutoka kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Namngojea Mungu peke yake kwa utulivu, kwake watoka wokovu wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho yangu inamnyamazia Mungu peke yake, wokovu wangu utoke kwake yeye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nafsi yangu yamngoja Mungu peke yake kwa kimya, Wokovu wangu hutoka kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Kwa mutindo wa Yedutuni. Zaburi ya Daudi.