Psalms 62:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msitegemee dhuluma, msijisifie mali ya wizi; kama mali zikiongezeka, msizitegemee.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usitumainie udhalimu, wala ujivune kwa vitu vya wizi; ingawa utajiri wako utaongezeka, usiuweke moyoni mwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msiitumainie dhuluma, Wala msijivune kwa unyang'anyi; Mali izidipo msiiangalie sana moyoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msitegemee dhuluma, msijisifie mali ya wizi; kama mali zikiongezeka, msizitegemee.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usitumainie vya udhalimu wala usijivune kwa ajili ya vitu vya wizi, ingawa utajiri wako utaongezeka, usiviwekee moyo wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usitumainie vya udhalimu wala usijivune kwa vitu vya wizi; ingawa utajiri wako utaongezeka, usiviwekee moyo wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msiitumainie dhuluma, Wala msijivune kwa unyang'anyi; Mali izidipo msiiangalie sana moyoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msitegemee dhuluma, msijisifie mali ya wizi; kama mali zikiongezeka, msizitegemee.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msiuegemee ukorofi wala unyang'anyi, usiwapofushe! Mali zikiwa nyingi, msiziweke mioyoni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msiitumainie dhuluma, Wala msijivune kwa unyang’anyi; Mali izidipo msiiangalie sana moyoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanadamu wote ni kama pumzi tu; wote, wakubwa kwa wadogo, hawafai kitu. Wakipimwa wote pamoja, pumzi ni nzito kuliko wao.