Psalms 62:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu ametamka mara moja, nami nimesikia tena na tena: Kwamba enzi ni mali yake Mungu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jambo moja Mungu amelisema, mambo mawili nimeyasikia: kwamba, Ee Mungu, wewe una nguvu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara moja amenena Mungu; Mara mbili nimeyasikia haya, Ya kuwa nguvu zina Mungu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu ametamka mara moja, nami nimesikia tena na tena: kwamba enzi ni mali yake Mungu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jambo moja Mungu amelisema, mambo mawili nimeyasikia: Kwamba, Ee Mungu, wewe una nguvu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jambo moja Mungu amelisema, mambo mawili nimeyasikia: kwamba, Ee Mungu, wewe una nguvu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara moja amenena Mungu; Mara mbili nimeyasikia haya, Ya kuwa nguvu zina Mungu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu ametamka mara moja, nami nimesikia tena na tena: Kwamba enzi ni mali yake Mungu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu alisema neno moja, nimelisikia mara mbili zote, ni lile la kwamba: Nguvu ni yake Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara moja amenena Mungu; Mara mbili nimeyasikia haya, Ya kuwa nguvu zina Mungu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musitegemee kutesa, musijisifie mali ya wizi; kama mali zikiongezeka, musizitegemee.