Psalms 62:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
naam, nazo fadhili ni zake Bwana; humlipa kila mtu kadiri ya matendo yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kwamba, Ee Bwana, wewe ni mwenye upendo. Hakika utampa kila mtu thawabu kwa kadiri ya alivyotenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na fadhili ziko kwako, Ee Bwana; Maana ndiwe umlipaye kila mtu Sawasawa na haki yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
naam, nazo fadhili ni zake Bwana; humlipa kila mtu kadiri ya matendo yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kwamba, Ee BWANA, wewe ni mwenye upendo. Hakika utampa kila mtu thawabu kwa kadiri ya alivyotenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kwamba, Ee bwana, wewe ni mwenye upendo. Hakika utampa kila mtu thawabu kwa kadiri ya alivyotenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na fadhili ziko kwako, Ee Bwana; Maana ndiwe umlipaye kila mtu Kulingana na haki yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
naam, nazo fadhili ni zake Bwana; humlipa kila mtu kadiri ya matendo yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe Bwana u mwenye upole, utamlipa mtu, kama matendo ya mtu yalivyo, ndivyo, utakavyomlipa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na fadhili ziko kwako, Ee Bwana; Maana ndiwe umlipaye kila mtu Sawasawa na haki yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu amesema mara na mara, nami nimesikia tena na tena kwamba uwezo ni wa Mungu.