Psalms 62:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye peke yake ndiye mwamba na wokovu wangu, yeye ni ngome yangu, sitatikisika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye peke yake ndiye mwamba wangu na wokovu wangu; yeye ni ngome yangu, sitatikisika kamwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye tu ndiye mwamba wangu na wokovu wangu, Ngome yangu, sitatikisika sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye peke yake ndiye mwamba na wokovu wangu, yeye ni ngome yangu, sitatikisika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye peke yake ndiye mwamba wangu na wokovu wangu; yeye ni ngome yangu, sitatikisika kamwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye peke yake ndiye mwamba wangu na wokovu wangu; yeye ni ngome yangu, sitatikisika kamwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye tu ndiye mwamba wangu na wokovu wangu, Ngome yangu, sitatikisika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye peke yake ndiye mwamba na wokovu wangu, yeye ni ngome yangu, sitatikisika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye tu ndiye mwamba wangu na wokovu wangu, ndiye ngome yangu, sitatikisika kamwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye tu ndiye mwamba wangu na wokovu wangu, Ngome yangu, sitatikisika sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa Mungu peke yake ninapata utulivu, wokovu wangu unatoka kwake.