Psalms 62:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata lini mtanishambulia mimi? Hata lini nyinyi nyote mtanipiga, mimi niliye kama kiambaza kilichoinama, kama ukuta unaoanza kubomoka?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtanishambulia hadi lini? Je, ninyi nyote mtanitupa chini: Mimi niliye kama ukuta ulioinama, kama uzio unaotikisika?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata lini mtamshambulia mtu, Mpate kumwua ninyi nyote pamoja? Kama ukuta unaoinama, Kama kitalu kilicho tayari kuanguka,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata lini mtanishambulia mimi? Hata lini nyinyi nyote mtanipiga, mimi niliye kama kiambaza kilichoinama, kama ukuta unaoanza kubomoka?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtamshambulia mtu hata lini? Je, ninyi nyote mtamtupa chini, ukuta huu ulioinama na uzio huu unaotikisika?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtamshambulia mtu hata lini? Je, ninyi nyote mtamtupa chini, ukuta huu ulioinama na uzio huu unaotikisika?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hadi lini mtamshambulia mtu, Mpate kumwua ninyi nyote pamoja? Kama ukuta unaoinama, Kama ua ulio tayari kuanguka,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata lini mtanishambulia mimi? Hata lini nyinyi nyote mtanipiga, mimi niliye kama kiambaza kilichoinama, kama ukuta unaoanza kubomoka?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpaka lini ninyi nyote mwamrukia mtu mmoja, mpate kumwua? mpaka awe kama ukuta unaoyumbayumba au kama kitalu kichakaacho?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata lini mtamshambulia mtu, Mpate kumwua ninyi nyote pamoja? Kama ukuta unaoinama, Kama kitalu kilicho tayari kuanguka,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye peke yake ndiye kikingio na wokovu wangu, yeye ni kimbilio langu, sitatikisika.