Psalms 62:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wokovu na fahari yangu vyatoka kwa Mungu; mwamba wangu mkuu na kimbilio langu ni Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wokovu wangu na heshima yangu viko kwa Mungu, ndiye mwamba wangu wenye nguvu na kimbilio langu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa Mungu wokovu wangu, Na utukufu wangu; Mwamba wa nguvu zangu, Na kimbilio langu ni kwa Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wokovu na fahari yangu vyatoka kwa Mungu; mwamba wangu mkuu na kimbilio langu ni Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wokovu wangu na heshima yangu viko kwa Mungu, ndiye mwamba wangu wenye nguvu na kimbilio langu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wokovu wangu na heshima yangu viko kwa Mungu, ndiye mwamba wangu wenye nguvu na kimbilio langu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa Mungu wokovu wangu, Na utukufu wangu; Mwamba wa nguvu zangu, Na kimbilio langu ni kwa Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wokovu na fahari yangu vyatoka kwa Mungu; mwamba wangu mkuu na kimbilio langu ni Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wokovu wangu na utukufu wangu uliko, ndiko kwake Mungu, ni mwamba wangu wenye nguvu, kimbilio languliko kwake Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa Mungu wokovu wangu, Na utukufu wangu; Mwamba wa nguvu zangu, Na kimbilio langu ni kwa Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye peke yake ndiye kikingio na wokovu wangu, yeye ni kimbilio langu, sitatikisika.