Psalms 62:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi watu, mtumainieni Mungu daima; mfungulieni Bwana yaliyo moyoni mwenu. Mungu ndiye kimbilio la usalama wetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Enyi watu, mtumainini yeye wakati wote, miminieni mioyo yenu kwake, kwa kuwa Mungu ni kimbilio letu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi watu, mtumainini sikuzote, Ifunueni mioyo yenu mbele zake; Mungu ndiye kimbilio letu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi watu, mtumainieni Mungu daima; mfungulieni Bwana yaliyo moyoni mwenu. Mungu ndiye kimbilio la usalama wetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Enyi watu, mtumainini yeye, wakati wote, mmiminieni yeye mioyo yenu, kwa kuwa Mungu ni kimbilio letu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Enyi watu, mtumainini yeye wakati wote, miminieni mioyo yenu kwake, kwa kuwa Mungu ni kimbilio letu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi watu, mtumainini siku zote, Ifunueni mioyo yenu mbele zake; Mungu ndiye kimbilio letu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi watu, mtumainieni Mungu daima; mfungulieni Bwana yaliyo moyoni mwenu. Mungu ndiye kimbilio la usalama wetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwegemeeni siku zote, ninyi wenzangu wa ukoo! Imimineni mioyo yanu mbele yake! Kimbilio letu ndiye Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi watu, mtumainini sikuzote, Ifunueni mioyo yenu mbele zake; Mungu ndiye kimbilio letu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wokovu na utukufu wangu vinatoka kwa Mungu; kikingio changu chenye nguvu na kimbilio langu ni Mungu.