Psalms 62:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Binadamu wote ni kama pumzi tu; wote, wakubwa kwa wadogo, hawafai kitu. Tena ukiwapima uzito hawafikii kilo, wote pamoja ni wepesi kuliko pumzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Binadamu wa ngazi ya chini ni pumzi tu, nao wa ngazi ya juu ni uongo tu; wakipimwa kwenye mizani, si chochote; wote kwa pamoja ni pumzi tu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakika binadamu ni ubatili, Na wenye cheo ni uongo, Katika mizani huinuka; Wote pamoja ni hafifu kuliko ubatili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Binadamu wote ni kama pumzi tu; wote, wakubwa kwa wadogo, hawafai kitu. Tena ukiwapima uzito hawafikii kilo, wote pamoja ni wepesi kuliko pumzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Binadamu wa ngazi ya chini ni kama pumzi, wa ngazi ya juu ni uongo; wakipimwa kwenye mizani, si cho chote; wote kwa pamoja ni pumzi tu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Binadamu wa ngazi ya chini ni pumzi tu, nao wa ngazi ya juu ni uongo tu; wakipimwa kwenye mizani, si chochote; wote kwa pamoja ni pumzi tu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakika binadamu ni ubatili, Na wenye cheo ni uongo, Katika mizani huinuka; Wote pamoja ni hafifu kuliko ubatili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Binadamu wote ni kama pumzi tu; wote, wakubwa kwa wadogo, hawafai kitu. Tena ukiwapima uzito hawafikii kilo, wote pamoja ni wepesi kuliko pumzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli wana wa watu huwa mvuke, nao ubwana wao ni wa uwongo; wakipimwa katika mizani, hupanda juu, wote pamoja ni wepesi kuliko mvuke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakika binadamu ni ubatili, Na wenye cheo ni uongo, Katika mizani huinuka; Wote pamoja ni hafifu kuliko ubatili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi watu, mutumainie Mungu siku zote; mumufungulie yanayokuwa ndani ya moyo wenu. Yeye ndiye kimbilio letu.