Psalms 63:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watauawa kwa upanga, watakuwa chakula cha mbweha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watatolewa wafe kwa upanga, nao watakuwa chakula cha mbweha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watatolewa wafe kwa nguvu za upanga, Watakuwa riziki za mbwa-mwitu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watauawa kwa upanga, watakuwa chakula cha mbweha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watatolewa wafe kwa upanga, nao watakuwa chakula cha mbweha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watatolewa wafe kwa upanga, nao watakuwa chakula cha mbweha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watatolewa wafe kwa nguvu za upanga, Watakuwa riziki za mbwamwitu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watauawa kwa upanga, watakuwa chakula cha mbweha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu watawatoa, wauawe kwa ukali wa panga, kisha watakuwa chakula chao mbwa wa mwitu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watatolewa wafe kwa nguvu za upanga, Watakuwa riziki za mbwa-mwitu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hao wanaokusudia kupoteza maisha yangu, watatumbukia chini kwenye makao ya wafu.