Psalms 63:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimetaka kukuona patakatifuni pako, niione nguvu yako na utukufu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimekuona katika mahali patakatifu na kuuona uwezo wako na utukufu wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndivyo nilivyokutazama katika patakatifu, Nizione nguvu zako na utukufu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimetaka kukuona patakatifuni pako, niione nguvu yako na utukufu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimekuona katika mahali patakatifu na kuuona uwezo wako na utukufu wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimekuona katika mahali patakatifu na kuuona uwezo wako na utukufu wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo nilivyokutazama katika patakatifu, Nizione nguvu zako na utukufu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimetaka kukuona patakatifuni pako, niione nguvu yako na utukufu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo ndivyo, nilivyokutazamia Patakatifu pako, niione nguvu yako na utukufu wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndivyo nilivyokutazama katika patakatifu, Nizione nguvu zako na utukufu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, wewe ni Mungu wangu. Moyo wangu unakutafuta, roho yangu inasikia kiu yako, ninasikia kiu yako kama inchi inayokauka kwa ukosefu wa maji.