Psalms 63:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakushukuru maisha yangu yote; nitainua mikono yangu na kukuomba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakusifu siku zote za maisha yangu, na kwa jina lako nitainua mikono yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndivyo nitakavyokubariki maadamu ni hai; Kwa jina lako nitaiinua mikono yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakushukuru maisha yangu yote; nitainua mikono yangu na kukuomba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitakusifu siku zote za maisha yangu, na kwa jina lako nitainua mikono yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakusifu siku zote za maisha yangu, na kwa jina lako nitainua mikono yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo nitakavyokubariki maadamu ni hai; Kwa jina lako nitaiinua mikono yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakushukuru maisha yangu yote; nitainua mikono yangu na kukuomba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo nitakutukuza siku zangu zote, nitakazokuwapo, Jina lako nitaliinulia mikono yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndivyo nitakavyokubariki maadamu ni hai; Kwa jina lako nitaiinua mikono yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wema wako ni bora kuliko maisha. Nitakusifu kwa midomo yangu.