Psalms 63:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Roho yangu inafurahi kama kwa karamu na vinono; kwa shangwe nitaimba sifa zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nafsi yangu itatoshelezwa, kama kushiba vyakula vizuri; kwa midomo iimbayo kinywa changu kitakusifu wewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nafsi yangu itakinai kama kushiba mafuta na vinono; Kinywa changu kitakusifu kwa midomo ya furaha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Roho yangu inafurahi kama kwa karamu na vinono; kwa shangwe nitaimba sifa zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nafsi yangu itatoshelezwa kama kwa wingi wa vyakula; kwa midomo iimbayo kinywa changu kitakusifu wewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nafsi yangu itatoshelezwa kama kwa wingi wa vyakula; kwa midomo iimbayo kinywa changu kitakusifu wewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nafsi yangu itakinai kama kushiba mafuta na vinono; Kinywa changu kitakusifu kwa midomo ya furaha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Roho yangu inafurahi kama kwa karamu na vinono; kwa shangwe nitaimba sifa zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi vinaishibisha roho yangu kama kiini cha mafuta, midomo yangu ikikupigia vigelegele, kinywa changu kikikushangilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nafsi yangu itakinai kama kushiba mafuta na vinono; Kinywa changu kitakusifu kwa midomo ya furaha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakushukuru maisha yangu yote, nitakuomba nikikuinulia mikono yangu.