Psalms 63:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maana wewe umenisaidia daima. Kivulini mwa mabawa yako nitashangilia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu wewe ndiwe msaada wangu, chini ya uvuli wa mabawa yako naimba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Wewe umekuwa msaada wangu, Na uvulini mwa mbawa zako nitashangilia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maana wewe umenisaidia daima. Kivulini mwa mabawa yako nitashangilia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu wewe ndiwe msaada wangu, chini ya uvuli wa mbawa zako naimba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu wewe ndiwe msaada wangu, chini ya uvuli wa mbawa zako naimba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana Wewe umekuwa msaada wangu, Na uvulini mwa mbawa zako nitashangilia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maana wewe umenisaidia daima. Kivulini mwa mabawa yako nitashangilia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wewe ndiwe uliyenisaidia, namo kivulini mwa mabawa yako ninapiga shangwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana Wewe umekuwa msaada wangu, Na uvulini mwa mbawa zako nitashangilia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakukumbuka ninapokuwa katika kitanda, ninafikiri juu yako usiku kucha,