Psalms 63:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Roho yangu inaambatana nawe kabisa, mkono wako wa kulia wanitegemeza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nafsi yangu inaambatana nawe, mkono wako wa kuume hunishika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nafsi yangu inakuandama sana; Mkono wako wa kuume unanitegemeza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Roho yangu inaambatana nawe kabisa, mkono wako wa kulia wanitegemeza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nafsi yangu inaambatana nawe, mkono wako wa kuume hunishika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nafsi yangu inaambatana nawe, mkono wako wa kuume hunishika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nafsi yangu inaambatana nawe sana; Mkono wako wa kuume unanitegemeza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Roho yangu inaambatana nawe kabisa, mkono wako wa kulia wanitegemeza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho yangu inagandamana nawe wewe, mkono wako wa kuume ukanishikiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nafsi yangu inakuandama sana; Mkono wako wa kuume unanitegemeza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
maana wewe umenisaidia siku zote. Nitashangilia chini ya kivuli cha mabawa yako.