Psalms 64:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) Usikie, ee Mungu, lalamiko langu; yalinde maisha yangu na vitisho vya maadui.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, unisikie ninapoeleza lalamiko langu, uyahifadhi maisha yangu kutokana na vitisho vya adui.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu, uisikie sauti yangu katika malalamiko yangu; Unilinde uhai wangu na hofu ya adui.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usikie, ee Mungu, lalamiko langu; yalinde maisha yangu na vitisho vya maadui.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Daudi) Ee Mungu, unisikie, ninapoeleza lalamiko langu, uyahifadhi maisha yangu kutokana na vitisho vya adui.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, unisikie ninapoeleza lalamiko langu, uyahifadhi maisha yangu kutokana na vitisho vya adui.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu, uisikie sauti yangu katika malalamiko yangu; Unilinde uhai wangu kutoka kwa hofu ya adui.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usikie, ee Mungu, lalamiko langu; yalinde maisha yangu na vitisho vya maadui.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu, isikie sauti yangu, nikikulalamikia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu, uisikie sauti yangu katika malalamiko yangu; Unilinde uhai wangu na hofu ya adui.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Zaburi ya Daudi. Wimbo.