Psalms 64:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waadilifu watafurahi kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu, na kukimbilia usalama kwake; watu wote wanyofu wataona fahari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wenye haki na wafurahi katika Mwenyezi Mungu, na wakimbilie kwake; wanyofu wote wa moyo na wamsifu yeye!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwenye haki atamfurahia Bwana na kumkimbilia, Na wote wenye moyo wa adili watajisifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waadilifu watafurahi kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu, na kukimbilia usalama kwake; watu wote wanyofu wataona fahari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wenye haki na wafurahi katika BWANA, na wakimbilie kwake; wanyofu wote wa moyo na wamsifu yeye!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wenye haki na wafurahi katika bwana, na wakimbilie kwake; wanyofu wote wa moyo na wamsifu yeye!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwenye haki atamfurahia BWANA na kumkimbilia, Na wote wenye moyo wa adili watasifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waadilifu watafurahi kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu, na kukimbilia usalama kwake; watu wote wanyofu wataona fahari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watu wote watakapoogopa, wataungama kwamba: Ni kazi ya Mungu! Ndivyo, watakavyoyatambua matendo yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwenye haki atamfurahia BWANA na kumkimbilia, Na wote wenye moyo wa adili watajisifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo watu wote wataogopa; watatangaza kazi Mungu aliyoifanya, na kufikiri juu ya matendo yake.